![]() |
| Mr.Baraka lang akizungumza na wanafunzi hiyo jana katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha.PICHA NA HAPPY KAHEMELA |
Ameyasema hayo wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbu wa chuo hicho kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kupendeza huku akisisitiza wanafunzi hao kujipenda haswa kimavazi
Ameongeza kuwa atandaa shindano la kumsaka mvulana mtanashati kuliko wote na pia kutakuepo na zawad nono kwa yule atakaye wazidi wenzie
Naye mmoja wa wawanafunzi waliohudhuria semina hiyo chuoni hapo BW.Eduwin reginald amempongeza Bw.Baraka kwa kuandaa semina nzuri ambayo ina mafunzo na kuipa sifa chuo hicho
Kwaupande wake mkufunzi wa chuo hicho Bw steven mulaki amewasistiza wanafunzi hao wa jinsia ya kiume kuyatilia maanani mafunzo hayo waliyopewa kwani yat
ailetea sifa nzuri chuo chao








