Tuesday, 12 July 2016

Mr AJTC Baraka lang kaaya amewashauri wanafunzi kuwa watanashati.

Mr.Baraka lang akizungumza na wanafunzi hiyo jana katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha.PICHA NA HAPPY KAHEMELA

Mr AJTC Baraka lang kaaya amewashauri wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wajinsia ya kiume kujipenda na kuvaa mavazi yanayo endana na wakati.

Ameyasema hayo wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbu wa chuo hicho kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kupendeza huku akisisitiza wanafunzi hao kujipenda haswa kimavazi

Ameongeza kuwa atandaa shindano la kumsaka mvulana mtanashati kuliko wote na pia  kutakuepo na zawad nono kwa yule atakaye wazidi wenzie 

Naye mmoja wa wawanafunzi waliohudhuria semina hiyo chuoni  hapo BW.Eduwin reginald amempongeza Bw.Baraka kwa kuandaa semina nzuri  ambayo ina mafunzo na kuipa sifa chuo hicho 

Kwaupande  wake mkufunzi wa chuo hicho Bw steven mulaki amewasistiza wanafunzi hao wa jinsia ya kiume kuyatilia maanani mafunzo hayo waliyopewa kwani yat
ailetea sifa nzuri chuo chao

No comments:

Post a Comment